rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/knaans-waving-flags-is-world-cup-2010.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Sunday, February 21, 2010. K’naan’s Waving Flags Is World Cup 2010 Official Song. Ubishi na ushindani wa Arsenal. Kama unavyojua,mwaka huu kipute kipo barani kwetu. Hii ni mara ya kwanza kwa bara la Afrika kupewa nafasi ya kuandaa kombe la dunia. Ni mwaka ambao una matumaini mapya kwani ukitazama kwa makini,bara la Afrika lina wasakata kabumbu mahiri sana wanaoch...Sasa ...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/01/jinsi-ya-kushinda-usailiinterview-ya.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Monday, January 25, 2010. JINSI YA KUSHINDA USAILI(INTERVIEW) YA KAZI. 8594; January 24, 2010. Natumaini kwamba hujambo na unaendelea na mapambano ya maisha kwa ujasiri,bila woga wala dalili za kukata tama.Hivyo ndivyo inavyotakiwa.Kumbuka kwamba penye nia pana njia.Jifunze jambo jipya kila siku.Usipoteze muda bure. Kabla sijakuambia ninachotaka kukuambia,naomba nikwambi...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/aliyekuwa-daktari-wa-michael-jackson.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Thursday, February 11, 2010. ALIYEKUWA DAKTARI WA MICHAEL JACKSON ASHTAKIWA KWA KIFO CHAKE. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, Dr.Murray ambaye alifikishwa mahakamani mchana huu huko Los Angeles,amekana shtaka lake na ameachiwa kwa dhamana ya dola 75,000. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena tarehe 5 April. Mchunguzi wa vifo wa Los Angeles alithibitisha baadaye ...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/03/naomi-campbell-anasakwa-na-polisi.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Thursday, March 4, 2010. NAOMI CAMPBELL ANASAKWA NA POLISI. Mwanamitindo maarufu ulimwenguni, Naomi Campbell. Yaelekea akaingia matatani tena kwani hivi sasa polisi wa jijini New York nchini Marekani,wanamsaka! Ni matunzo,jamii au? NB:Hivi unajua Naomi Campbell. Alipokuwa mdogo alishiriki katika video ya Mfalme wa Reggae,Bob Marley katika wimbo One Love? Hivi sasa ni saa!
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/miaka-45-tangu-alipofariki-malcom-x.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Tuesday, February 23, 2010. MIAKA 45 TANGU ALIPOFARIKI MALCOM X. 8594; February 22, 2010 → Tags: In Memory/Kumbukumbu. Mwaka 1946 Malcom alifungwa jela kutokana na wizi. Akiwa Jela, Malcom ambaye hakuwahi kusoma vitabu akajikuta akiwa msomaji mkubwa wa vitabu ambavyo vilimwongezea maarifa aliyokuja kuyatumia baadae katika mapambano dhidi ya ubaguzi wa watu weupe kwa ...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/01/c-pwaawhat-happened-pichani-ni-ilunga.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Saturday, January 23, 2010. Pichani ni Ilunga Khalifa (CP) au kwa wengi C-Pwaa. Ana style ya kipekepekee hivi Bongo. Kuna wakati C-Pwaa alikuwa anablog kwa kutumia simu yake. Mobile blogging).Yeye alikuwa msanii wa kwanza kuamua kuanzisha blog. Sina uhakika kwanini aliacha kwani kwa muda sasa blog yake imekuwa parking lot.What happened C-Pwaa? Tembelea G amo BluePrint.
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/chid-beenz-kumshirikisha-t-i-d.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Thursday, February 11, 2010. CHID BEENZ KUMSHIRIKISHA T I D. Kama zilivyo kazi nyingi za wasanii wetu siku hizi,hii pia ni hadithi ya mapenzi (bado natamani wigo wa yaliyomo(content) za kazi za wasanii upanuke zaidi na kugusa maeneo mengine yanayoizunguka jamii).Kinachoufanya wimbo huu uwe tofauti ni uwezo binafsi wa wasanii husika na hadithi yenyewe. Subscribe to: Post ...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/miss-tanzania-2009-kizimbani-february.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Saturday, February 13, 2010. MISS TANZANIA 2009 KIZIMBANI! February 12, 2010. Zipo habari ambazo huwa mara nyingine sipendi hata kuziandika.Lakini kwa sababu kuandika na kukupa wewe msomaji taarifa mbalimbali hususani zinazowahusu “celebrities” wa kwetu na hata wa pande zingine za dunia,ndilo jukumu mama la BC,sina budi.Ni wajibu. Posted by BORN IN DAR.(Reloaded). Tuma m...
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/latest-films.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Tuesday, February 16, 2010. Latest Films. COMMING SOON. VERY SOON! Come todayRJ- Tanzania Limited.“Here we are to provide you a service of exceptional quality and value”. Posted by BORN IN DAR.(Reloaded). March 3, 2010 at 9:39 PM. Toa maoni yako kadri uwezavyo. Subscribe to: Post Comments (Atom). Tembelea G amo BluePrint. Angalia blog zingine hapa! Welcom 2 G amo's World.
rundsm11.blogspot.com
BORN IN DAR.
http://rundsm11.blogspot.com/2010/02/danger-fid-q-feat-j-bryant-albumu-mpya.html
Pata habari mbalimbali za Kitaifa,Kimataifa,Michezo na Burudani Kupitia blog yako ya ukweli na uhakika BORN IN DAR. Jiwe kali wiki hii! Thursday, February 11, 2010. DANGER FID Q FEAT J BRYANT albumu mpya ya fid q iitwayo PROPAGANDA sasa ipo mitaani pata nakala yako sasa! Siku chache zijazo,tarehe 25 mwezi huu kwa uhakika,Fareed Kubanda au maarufu kama Fid Q anatarajia kuiweka sokoni albamu yake mpya ambayo ameipa jina Propaganda. You also need to have JavaScript enabled in your browser. Hivi sasa ni saa!