edwinmoshi.blogspot.com
Wafahamu wabunge waliokatwa na CCM huko Dodoma, wengine wahama chama | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/wafahamu-wabunge-waliokatwa-na-ccm-huko.html
Wafahamu wabunge waliokatwa na CCM huko Dodoma, wengine wahama chama. Thursday, August 13, 2015. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakijikuta wakitupwa nje. Katika kikao hicho kilichoanza juzi na kumalizika jana mjini hapa, chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete. Waliokatwa ni Mbunge wa Babati Mjini anayemaliza muda wake, Kisyeri Chambiri. Na mwenzake wa Babati Vijijini, Virajilal Jituson.
edwinmoshi.blogspot.com
Nyama ya Punda kugeuka dili huko Dodoma, Serikali yaonesha ukali wake | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/nyama-ya-punda-kugeuka-dili-huko-dodoma.html
Nyama ya Punda kugeuka dili huko Dodoma, Serikali yaonesha ukali wake. Sunday, August 16, 2015. Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Limefungia na kukitoza faini ya Sh milioni 200 kiwanda cha kusindika nyama ya punda cha Huwacheng kilichopo katika Kata ya Kizota, mjini hapa. Kiwanda hicho kinachomilikiwa na raia wa China, kimefungiwa kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni ufanyaji wa biashara kinyume na utamaduni wa Watanzania pamoja na mazingira yasiyoridhisha kiwandani hapo. 8220;Tumekifun...
edwinmoshi.blogspot.com
Hii ni mpya kuhusu madereva kuanza mgomo mwingine | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/hii-ni-mpya-kuhusu-madereva-kuanza.html
Hii ni mpya kuhusu madereva kuanza mgomo mwingine. Sunday, August 16, 2015. Leo Agosti 16 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa kimara resort Dar es salaam na kuamua haya yafuatayo…. Kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh aliwaeleza madereva hatima ya kamati ambayo imeundwa na Waziri Mkuu kusuluhisha kero za Madereva nchini. 8216;Kuacha kuendesha sio mgomo si umepumzika,Nani kasema mgomo sisi atugomagi uwa tunajipa likizo vibarua uwa analikizo ya...
edwinmoshi.blogspot.com
Picha za kinachoendelea Jijini Mbeya kabla ya mkutano wa CHADEMA leo | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/picha-za-kinachoendelea-jijini-mbeya.html
Picha za kinachoendelea Jijini Mbeya kabla ya mkutano wa CHADEMA leo. Friday, August 14, 2015. Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya. Vifaa mbalimbali vikiuzwa kwa ajili ya Mkutano wa CHADEMA. Baadhi ya Wakazi wa Mbeya wakiwa wamevaa mapambo ya CHADEMA. Mfanyabiashara wakiuza urembo jijini Mbeya. Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA). Hivi Ndivyo Manji alivyoondolewa Quality Plaza. Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) amemuo...
edwinmoshi.blogspot.com
Indonesia tena kuna hii nyingine ya ndege kupotea | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/indonesia-tena-kuna-hii-nyingine-ya.html
Indonesia tena kuna hii nyingine ya ndege kupotea. Sunday, August 16, 2015. Indonesia imekua kwenye rekodi mbaya ya ajali za ndege huku ajali mbili za ndege zimeripotiwa ndani ya mwaka mmoja uliopita ikiwemo Indonesia Air. Ilianguka katika bahari ya Java ikitoka Sura Baya. Kuelekea Singapore na kuua watu wote 192. Historia imerudi tena nchini humo baada ya ndege moja iliyobeba abiria 54 kupoteza mawasiliano na idara ya kituo cha udhibiti wa safari za ndege. Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA). MCHUNGA...
edwinmoshi.blogspot.com
Matokeo kura za maoni CCM bado ni shida....Soma kilichotokea Namtumbo | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/matokeo-kura-za-maoni-ccm-bado-ni.html
Matokeo kura za maoni CCM bado ni shida.Soma kilichotokea Namtumbo. Sunday, August 16, 2015. Mbali ya malalamiko hayo,wagombea hawa wakaja na mapendekezo kadhaa likiwemo la kuwaengua baadhi ya wagombea ubunge katika mchakato huo wa kura za maoni. Hata hivyo mgombea ubunge anayetuhumiwa na wenzake Bwana.Edwin Ngonyani alipopigiwa simu yake ya mkononi amesema huo ni upuuzi na hahusiki kwa lolote huku mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya namtumbo Bwana Benjamin Nindi naye akijitetea kwamba yupo k...
edwinmoshi.blogspot.com
Lowassa Aahidi Kuunda Serikali Makini Itakayowahudumia wananchi saa 24 | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/lowassa-aahidi-kuunda-serikali-makini.html
Lowassa Aahidi Kuunda Serikali Makini Itakayowahudumia wananchi saa 24. Saturday, August 15, 2015. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana alipokewa na maelfu ya watu mjini Mbeya ambao kwenye uwanja wa Ruanda, Nzovwe, aliwaambia wananchi kuwa hatataka mchezo katika serikali atakayoiongoza. Msafara wa Lowassa uliwasili mjini hapa kwa kutumia ndege mbili, ya kwanza ikiwa imebeba waandishi wa habari wapatao 10 na nyingine iliyombeba mbunge huyo wa Monduli ambayo iliwasili saa 8:20.
edwinmoshi.blogspot.com
Waziri ageuka bondia baada ya kushindwa kura za maoni | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/waziri-ageuka-bondia-baada-ya-kushindwa.html
Waziri ageuka bondia baada ya kushindwa kura za maoni. Saturday, August 15, 2015. Hali ya mtafaruku iliibuka jana wakati aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani, alipogeuka bondia kwa kumpiga makonde msimamizi wa uchaguzi , Jonathan Mabihya. Baada ya kutangazwa kushindwa kwa uchaguzi wa marudia wa kura za maoni. Dk Kamani amebwagwa na Raphael Chegeni ambaye alikuwa mpinzani wake mkubwa katika uchaguzi huo. Mawaziri ambapo mpaka sasa wamebwagwa katika uchaguzi huo ni pamoja na M...
edwinmoshi.blogspot.com
Lowassa jijini Mwanza, jionee taswira hapa | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/lowassa-jijini-mwanza-jionee-taswira.html
Lowassa jijini Mwanza, jionee taswira hapa. Sunday, August 16, 2015. Muda huu polisi wanapiga mabomu uwanja wa ndege jijini Mwanza kuwatawanya wananchi waliokusanyika kumpokea Lowassa. Mabomu yamepigwa muda mfupi baada ya ndege inayosadikiwa kuwa ni ya Lowassa kutua uwanjani, hali iliyowafanya wananchi walipuke kwa furaha huku wakiimba nyimbo za Chadema. Kadhia hiyo iliwafanya Polisi watumie nguvu ya ziada kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wametanda barabarani. Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA).
edwinmoshi.blogspot.com
Picha zote za mapokezi ya Lowassa jijini Mbeya | EDDY BLOG
http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/08/picha-zote-za-mapokezi-ya-lowassa.html
Picha zote za mapokezi ya Lowassa jijini Mbeya. Saturday, August 15, 2015. Andika maoni yako hapa (MATUSI HAPANA). Hivi Ndivyo Manji alivyoondolewa Quality Plaza. VIDEO: Rapper Khaligraph Jones alivyotumbuiza Jameson Connect Nairobi. MCHEZAJI WA MBAO U-20, AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA UWANJANI. BILIONI 2.7 ZAYEYUKA MRADI WA UJENZI HOSPITALI YA WILAYA YA MONDULI,WAZIRI MKUU AAGIZA UFANYIKE UCHUNGUZI. TRA yashinda tuzo ya utunzaji bora wa mahesabu kwa taasisi ya umma. Mazishi ya Ernest Materego, yamekwa...
SOCIAL ENGAGEMENT