sauti.gafkosoft.com
Bwana ni Mchungaji Lyrics | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/songs/12933/bwana_ni_mchungaji
Bwana ni Mchungaji Lyrics. Bwana ni mchungaji wangu,. Hun’laza penye majani mabichi,. Huniongoza kwa maji matulivu. Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,. Nitakaa nyumbani mwa Bwana,. Siku zote za maisha yangu. Hunihuisha nafsi yangu,. Hun’ongoza kwa njia za haki. Nipitapo bondeni mwa mauti,. Sitaogopa wewe u nami. Gongo lako na fimbo yako,. Waandaa meza mbele yangu,. Machoni pa watesi wangu. Bwana Ndiye Mchungaji Wangu. Bwana Ndiye Mchungaji Wangu. Our Lady of Fatima Kongowea. Gafkosoft 1999 - 2017.
sauti.gafkosoft.com
Cha Kutumaini Sina Lyrics | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/songs/12907/cha_kutumaini_sina
Cha Kutumaini Sina Lyrics. Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana. Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha. Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama. Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama. Damu yake na sadaka, nategemea daima. Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha. Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu. Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga. Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani. Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake. Bernard Mukasa - St. Kizito Makuburi. Ee Bwana Utege Sikio.
sauti.gafkosoft.com
Song Charts | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/charts
These are the top songs today. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Our Lady of Fatima Kongowea. Mungu Wangu Mbona Umeniacha. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). St Joseph Cathedral Dar-es-Salaam. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Malaika Mkuu Mikaeli Chang'ombe. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). Our Lady of Guadalupe. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance).
sauti.gafkosoft.com
List of Choirs | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/choirs
List of Choirs featured in Sauti za Kuimba. Blessed Joseph Allamano Mshindo Iringa. Blessed Virgin Sisters (Tabaka Kisii). BMT Ledochowska K/Ndege Dodoma. Christ The King Bungoma. Damu Azizi Kola B. Familia Takatifu Katubuka Kigoma. Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha. Kwaya Mt. Maurus Kurasini. Kwaya ya Familia Takatifu Ipuli Tabora. Kwaya ya Malkia wa Mitume Parokia ya Vincent Palloti Arusha. Kwaya ya Mt. Yuda Thadei Mbeya. Malaika Mkuu Mikaeli Chang'ombe. Maria Mt Mama wa Mungu Musoma. Moyo Safi (Unga Ltd).
sauti.gafkosoft.com
Uninyunyizie Maji Lyrics | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/songs/12389/uninyunyizie_maji
Uninyunyizie maji (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Mimi ni mwenye dhambi (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Natamani nije kwako (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Naingia nyumba yako (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Niuone uso wako (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Nifurahi milele (Bwana) *2. Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa *2. Our Lady of Fatima Kongowea.
sauti.gafkosoft.com
Yesu ni Mwema Lyrics | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/songs/12620/yesu_ni_mwema
Yesu ni Mwema Lyrics. Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa. Binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi. Lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira. Bwana, wanyesha mvua, Bwana, kwa walio jangwani. Bwana, wawasha jua, Bwana, mpaka baharini. Kweli Bwana wewe ni mwema sana. Nitasimulia miji, Yesu ni mwema, Yesu ni mwema. Nitahubiri vijini, Yesu ni mwema Yesu ni mwema. Nitayafafanua haya, Yesu ni mwema Yesu ni mwema. Watu wote wapate kuyajua, Yesu ni mwema Yesu ni mwema.
sauti.gafkosoft.com
Moyo Wangu Wamtukuza Lyrics | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/songs/11763/moyo_wangu_wamtukuza
Moyo Wangu Wamtukuza Lyrics. Moyo) Moyo wangu wamtukuza Bwana. Roho) Roho yangu inafurahi }*2. Kwa kuwa amemwangalia, kwa huruma mtumishi wake. Hivyo tangu sasa watu wote, wataniita mwenye heri. Kwa sababu Mwenyezi Mungu, amenifanyia makuu. Jina lake ni takatifu,. Huruma yake ni kwa wote, wote wale wanaomcha. Kizazi hata na kizazi,. Huyatenda mambo makuu, kwa nguvu za mkono wake. Wenye kiburi hutawanywa,. Hushusha wote wenye vyeo, kutoka vitini vya enzi. Nao wale wanyenyekevu, wote hao huwainua. Faustine...
sauti.gafkosoft.com
List of Categories | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/categories
Gafkosoft 1999 - 2017.
sauti.gafkosoft.com
Top Songs All Time | Sauti za Kuimba
http://sauti.gafkosoft.com/charts/all_time
Top Songs All Time. The most viewed songs of all time. Our Lady of Fatima Kongowea. St Paul Students' Choir (University of Nairobi). Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha. Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha. Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha. Moyo Mtakatifu wa Yesu UDOM. Blessed Joseph Allamano Mshindo Iringa. Kwaresma na Toba (Lent and Repentance). What Shall I Offer. St Michael Otiende Lang'ata. Blessed Virgin Sisters (Tabaka Kisii). Injili na Miito (Gospel). Nikupe Nini Ee Mungu. Moyo Safi (Unga Ltd).