mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: PHORNESIS WEAR....SPECIALIZED IN DESIGNING,FASHION,PRINTING AND MODELING!!
http://mjasii.blogspot.com/2013/08/phornesis-wearspecialized-in.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Monday, August 5, 2013. PHORNESIS WEAR.SPECIALIZED IN DESIGNING,FASHION,PRINTING AND MODELING! OFFICIAL WEARING SPONSORS OF KING CHAVALA MC! THERE ARE VARIETY OF DESIGNINGS.JUST YOUR CHOICE! GET EXECUTIVE SUITS, CASUAL SUITS, PROFFESSIONAL WEARS FOR PEOPLE SUCH AS PASTORS,LAWYERS.JUDGES,DOCTORS,DRIVERS,SCHOOL UNIFORMS,GRADUATION GOWNS AND MANY OTHER PROFFESSIONALS PER YOUR ORDER! WE ARE DOING MAKERTING AND MODELLING FOR DIFFERENT OTHER DESIGNERS! Naamini unasoma...
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: SALAAM KWA WAJASIRIAMALI WOTE.....HERI YA MWAKA MPYA 2014!!!
http://mjasii.blogspot.com/2014/01/salaam-kwa-wajasiriamali-woteheri-ya.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Saturday, January 4, 2014. SALAAM KWA WAJASIRIAMALI WOTE.HERI YA MWAKA MPYA 2014! NAAMINI UMEKUWA NA WAKATI MZURI TU WAKATI HUU WA MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA NOELI PAMOJA SHAMRASHAMRA YA KUUPOKEA MWAKA 2014! YAMKINI ULIKUWA UMEPUMZIKA AMA ULIKUWA UNAWAJIBIKA! KATIKA YOTE MUNGU NI MWEMA NA SASA NIKUTAKIE BARAKA NYINGI SANA ZA MUNGU KWA NIABA YA TIMU YANGU NZIMA,ILI MWAKA HUU UWE WA MAFANIKIO MAKUBWA SANA KWAKO! 255 713 883 797. Subscribe to: Post Comments (Atom).
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: JIPATIE KIWANJA SAFI KABISA KIGAMBONI,DAR ES SALAAM!!!
http://mjasii.blogspot.com/2013/08/jipatie-kiwanja-safi-kabisa.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Thursday, August 8, 2013. JIPATIE KIWANJA SAFI KABISA KIGAMBONI,DAR ES SALAAM! JIPATIE VIWANJA KWA KUJENGA NYUMBA YA KUISHI AMA NYUMBA YA BIASHARA;. KARIBU SANA NA BARABARA). KINAFAA SANA KWA MAKAZI). V IWANJA VYOTE HIVI VIKO KM 20 TOKA FERRY! KAMA UNAHITAJI TAFADHALI FANYA HIMA TUWASILIANE KUPITIA 0713 883 797. Subscribe to: Post Comments (Atom). Order your Copy now; 255 714 548 565. Uwezo wa akili kuzalisha mawazo mema ni zaidi ya upinzani wa ulemavu wa mwili!
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: February 2013
http://mjasii.blogspot.com/2013_02_01_archive.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Monday, February 18, 2013. HALI HALISI KATIKA BIASHARA NI TOFAUTI NA KINACHOSEMWA NA WENGI KWENYE MAJUKWAA. KUNA HALI TOFAUTI KATKA BIASHARA NA KILE AMBACHO KINAFUNDISHWA JUKWAANI, WENGI WA WATU WANAOFUNDISHA WATU NAMAN YA KUFANYA BIASHARA UTAKUTA WENGI WAO HAWAJAWAHI KUUZA HATA NYANYA MBILI. NILICHOKIGUNDUA NI KWAMBA BIASHARA ZOTE ZINAZOKUWA ZINAHITAJI MOYO, KUTOKATA TAMAA, NA KUAMUA KUENDELEA HATA KAMA UNAPITA KATIKA KIPINDI KIGUMU. NA TABASAMU LANGU NENE.
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: January 2013
http://mjasii.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Tuesday, January 29, 2013. JE UMEPATA KUSIKIA HABARI ZA MJASIRIAMALI HUYU? ENDELEA KUFUATILIA HAPA, MUDA SI MREFU UTAANZA KUPATA HAMASA ZAKE KWA WAJASIRIAMALI WANAOTAMANI KUFIKA MAHALI ALIPO! Tuesday, January 8, 2013. TEN IMPORTANT STEPS TO PASS WHEN YOU START YOUR OWN BUSINESS! We are here just to pave a way! 10 Steps to Starting a Business. JUST TO GIVE YOU IN NUTSHEL. Step 1: Write a Business Plan. Step 2: Get Business Assistance and Training. Step 6: Registe...
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: March 2013
http://mjasii.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Saturday, March 9, 2013. HILI NI ZAIDI YA SHAIRI KWAKO MJASIRIAMALI! From Malenga wa Mvita by Ahmad Nassir. AKIWA KAMA MSHAIRI ANAWEZA KUWATIA MOYO WENGINE,LAKINI PIA HII NI FURSA PEKEE. KWAKE KUISHI KWAYO MAANA HATA KIPAJI NI MSINGI WA BIASHARA NA MATUNDA YA KIPAJI. NDIO BIDHAA YENYEWE YA KUWAUUZIA WATEJA WAKO! Yako mengi tu huku http:/ www.mwambao.com/mashairi.htm. Subscribe to: Posts (Atom). Order your Copy now; 255 714 548 565. V Who is the Mentor? Jua uhusi...
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: August 2013
http://mjasii.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Thursday, August 8, 2013. KITALU CHA MADINI CHA EKARI 9.8 KINAUZWA TANGA! KUNA KITALU CHA KUCHIMBA MADINI YA DHAHABU KILICHOPIMWA NA KINA HATI YA SERIKALI! PAMEFANYIWA UTAFITI NA PAMEPIMWA, UKIWA KAMA MTU BINAFSI AU KAMPUNI AMA TAASISI, BASI UNAKARIBISHWA KUNUNUA KITALU KIMOJA! KITALU HIKI KINA UKUBWA WA EKARI 9.8. KITALU HIKI KINAUZWA 350M. KAMA UNAHITAJI NA KUPATA MAELEZO YA KINA ZAIDI, BASI TUWASILIANE KUPITIA 0713 883797. KARIBU SANA NA BARABARA). WATOTO HAW...
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: September 2013
http://mjasii.blogspot.com/2013_09_01_archive.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Monday, September 30, 2013. NJOO UWE SEHEMU YA HISTORIA HII YA TANZANIA NA JOHN LISU! UKO HAPA DVD LIVE RECORDING. NA JOHN LISSU,. 06/10/2013,CCC-UPANGA, DAR ES SALAAM, TANZANIA. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE;. Shalom Dar es salaam, Shalom Tanzania! Ndugu wanahabari na watanzania wote kwa ujumla! Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, hata sasa tunapoende kumalizia robo ya tatu ya mwaka 2013, tumeshuhudia mambo mengi sana mwaka huu ya kila ain...
mjasii.blogspot.com
Mjasiriamali+: NJOO UWE SEHEMU YA HISTORIA HII YA TANZANIA NA JOHN LISU!!
http://mjasii.blogspot.com/2013/09/njoo-uwe-sehemu-ya-historia-hii-ya.html
Darasa Muhimu la Biashara na Ujasiriamali! Monday, September 30, 2013. NJOO UWE SEHEMU YA HISTORIA HII YA TANZANIA NA JOHN LISU! UKO HAPA DVD LIVE RECORDING. NA JOHN LISSU,. 06/10/2013,CCC-UPANGA, DAR ES SALAAM, TANZANIA. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE;. Shalom Dar es salaam, Shalom Tanzania! Ndugu wanahabari na watanzania wote kwa ujumla! Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, hata sasa tunapoende kumalizia robo ya tatu ya mwaka 2013, tumeshuhudia mambo mengi sana mwaka huu ya kila ain...