rweyemamuinfo.blogspot.com
Rweyemamu info blog: RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM
http://rweyemamuinfo.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-katika-hafla-ya-kongamano.html
August 15, 2015. RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC. MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini. Wadau wa ...
rweyemamuinfo.blogspot.com
Rweyemamu info blog: MAMA REGINA LOWASSA ALIVYOSHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA
http://rweyemamuinfo.blogspot.com/2014/06/mama-regina-lowassa-alivyosherehekea.html
June 9, 2014. MAMA REGINA LOWASSA ALIVYOSHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA. Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam. Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea. Wajukuu wakimpongeza Bibi yao. Mmoja wa wajukuu akitoa burudani.
rweyemamuinfo.blogspot.com
Rweyemamu info blog: ANZA VEMA JUMATATU NA VITUKO UCHEKE UNENEPE
http://rweyemamuinfo.blogspot.com/2013/07/anza-vema-jumatatu-na-vituko-ucheke.html
July 8, 2013. ANZA VEMA JUMATATU NA VITUKO UCHEKE UNENEPE. Mtu wangu wa nguvu wiki ndiyo imeshaanza na jumatatu ndiyo hii. Najua wengi monday ni siku ngumu sana hasa pale unapotafuta energy ya kurudisha hali ya kazi. Basi kama vipi nakupa vipande hivi vya vichekesho ambavyo vitakupa starter nzuri ya jumatatu yako mtu wangu wa nguvu na uendelee na kazi kama kawaida. 8230;………. 8230;………. Baba: Mwanangu ehe, shika hii shilingi 500 usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl. 8230;………. Mke: TUYU ndo nan?
rweyemamuinfo.blogspot.com
Rweyemamu info blog: MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA
http://rweyemamuinfo.blogspot.com/2015/08/mwenyekiti-wa-ccm-rais-jakaya-kikwete.html
August 12, 2015. MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanga nyaraka vizuri kwenye meza kuu, kabla ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kuanza leo, katika Ukumbi uliopo jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi uliopo jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma. Katibu Mkuu wa C...
rweyemamuinfo.blogspot.com
Rweyemamu info blog: KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI JUMANNE MEI19,2015
http://rweyemamuinfo.blogspot.com/2015/05/kurasa-za-magazeti-ya-hardnews-na_19.html
May 19, 2015. KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI JUMANNE MEI19,2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dk Kigwangalla afanya ziara ya kukagua vituo vya Afya Wilaya ya Bunda. Urembo : Shindano la Miss Ilala 2016 Lazinduliwa Jijini Dar. SHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM. LEO AUGOSTI 19 NI SIKU YA KUSHEREHEKEA MIAKA 177 YA KUPIGA PICHA DUNIANI. UVCCM YAMNG'OA RC ARUSHA. City of Dar es salaam-Tanzania.
SOCIAL ENGAGEMENT